-->

PICHA ZA VURUGU MKOANI IRINGA

 
Gari  ya mbunge Peter Msigwa ikiondoka maeneo ya mashine tatu huku wananchi wakiisukuma ikiwa kama ishara kupendezwa na maneno ambayo amekuwa akiwapatia
Baada ya kuondokja kwa mbunge huyo vurugu zilitawala baada ya maaskari kukataza na kuzuia watu kutofanya biashara kwenye eneo ambalo manispaa ya Iringa imepiga marufuku kwa biashara.

Habari zinasema kwamba mbunge huyo ametiwa mbaroni na maaskari kwa kosa la kuhamasha wananchi kufanya vurugu hizo

Share on Google Plus

About Omari Makoo

Blogger na mtengenezaji wa blog za wajasiriamali pamoja na blogs za makampuni anapatika kwa namba 0714557223,0629278743 au 0756262899