MJUE SHUJAA NELSON MANDELA NA HARAKATI ZAKE

HABARI ZAKITAIFA

» » MJUE SHUJAA NELSON MANDELA NA HARAKATI ZAKE

Alikuwa mwanasheria akiwa na umri wa miaka 34.
Alikuwa mwanasiasa hai akiwa na umri wa miaka 34.
Alihukumiwa kifungo cha maisha akiwa na miaka 46.
Alifanikiwa kutoka jela akiwa na umri wa miaka 72 .
Alipokea zawadi ya Noble Peace Prize akiwa na miaka 75.
Alikuwa raisi wa kwanza wa South Afrika akiwa na miaka 77.
Alianzisha Nelson Mandela Foundation akiwa na miaka 81.
Alianzisha kampeni za kupandana na maambukizi ya ukimwi akiwa na miaka 84.

Share

You may also like

No comments

Leave a Reply

DONDOO ZA AFYA